UOTO WA ASILI NCHINI TANZANIA

Nchini Tanzania kunapatikana zaidi ya mimea mikuu aina ya miti takribani Alfu 9000. Mimea hii mikuu haipatikani sehemu yeyote ile duniani isipokuwa pekee nchini Tanzania.  Mimea  mikuu  ni  ile  ambayo  inatambulika  kwa  kuwa  na  mizizi,   mashina pamoja na  matawi  yake.

UOTO WA ASILI NCHINI TAZAMA KATIKA MAENEO  MATANO  KIMTAWANYIKO (PHYTOGEOGRAPHICAL REGIONS).
UTANGULIZI:
Uoto  wa  Asili nchini Tanzania  kwa  ujumla  wake  unachanganuliwa  na  kugawanyishwa katika  maeneo  matano (5)  mbalimbali  ambayo hutofautiana na  upatikanaji  wa uoto  wa asili  husika. 

Uoto wa sili  wa misitu  milimani  unahusisha  maeneo  yote  yenye  kuwa na milima  mirefu  nchini  Tanzania kama vile  mlima  Kilimanajro, mlima  Meru, Ngorongoro, Hanang,  Rungwe,  mbizi pamoja na  Makale.  Ikumbukwe  na ieleweke  ya kwamba  uoto wa asili  wa misitu  milimani  unahusisha pia  na uoto  wa asili  wa milima  ya  Tao la Mashariki (Eastern arc Mountains   chimbuko lake asilia  limeanzia  milima ya  TAITA (Taita hills) ipatikanayo  Kusini  mwa  nchi  jirani  ya Kenya. Nchini Tanzania Milima  ya Tao la Mashariki ni pamoja na:-

Ikumbukwe  na  ieleweke  ya kwamba   milima  ya Tao  la Mashariki ni Milima  ambayo  imejipanga  katika   safu  na  ni eneo lenye  kuwa   na  utajiri wa viumbe  hai  mimea  inayopatikana  pekee  katika eneo hili  ambapo  sehemu  nyinginezo hazipatikani.  Zaidi  ya asilimia 25 ya viumbe hai mimea  ipatikanayo  katika  eneo hili  ni viumbe   hai  mimea  asilia  na  hii  ni pamoja na  kahawa, misitu  aina ya  mufindi  na Mongesis.

          Katika eneo  hili upatikanaji  wa mvua  ni wa  hali ya juu katika  mwaka mzima takribani (milimita 1000 mpaka  3000)  na ni  katika  eneo hili  ambapo  hupatikana idadi  kubwa ya  wakazi  wananchi  wanajishughulisha  na shughuli  za  kilimo  kutokana  na kuwa  na  hali  bora ya  hewa  zitokanazo  na shughuli  za kilimo. 

soma zaidi

Watch-Tanzanian-Map ____________________________________________________________________________________________________

BLOGU NA HABARI ZA UTALII
TAARIFA KWA UMMA
KUTOKA KWA MKURUGENZI MTENDAJI
MAKABILA YALIYOPO TANZANIA
WASIFU WA MIKOA KIUTALII
MATUKIO NA MATAMASHA
HAMASIKA
MAONI
JARIDA
UOTO WA ASILI
WATOTO
WITO WETU
USAFIRI
RAMANI
MAKTABA YA PICHA
Fortune Media Work
Simu: +255654002397
www.fortunemediawork.com | © 2011-2014
Tazama Ramani Tanzanian. Haki zote zimehifadhiwa
free hit counter

logos NgorongoroS!TE TATOTz EAC UDMCT TTB TANAPA KARIBU