Hifadhi ya Taifa ya Katavi

Ukweli kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Ruaha:
Hii ndio  hifadhi  kubwa  kuliko zote  nchini  Tanzania  na barani  Afrika  baada  ya hifadhi  ya Kruger inayopatikana  Afrika  Kusini,.

          Ukubwa  wa eneo  la hifadhi  ya Taifa   ya Ruaha  inatokana na  kuongezwa  kwa  ukubwa  wa eneo  lake.  Hifadhi  hii imepata  jina  hilo kutoka  mto Ruaha  mkuu ambapo  umeme unaozalishwa  kwa njia ya maji  ulio  mwingi nchini Tanzania  unatoka katika mto huu ambapo  umeme  wake  unatengenezwa na  kuzalishwa  Kidatu. 

MAANDALIZI YA USAFIRI,
Utafiti  ni lazima  ufanyike  wa kupata maelezo  ya taarifa  za hifadhi  yenyewe  sambamba  na  wadau wa sekta  ya utalii wanaotoa huduma  ya matembezi  katika  hifadhi  hii ili  kupata  gharama  husika jinsi  zilivyo  na mambo  mengineyo muhimu  katika  maandalizi ya  usafiri. Muda wa  maandalizi ya kujiandaa  ni muhimu sana  ukifahamu ya  kwamba  haya  yote  yanahitaji fedha na bajeti  ya  matumizi ya fedha  zenyewe.

Simba

KUANZISHWA KWAKE:
Ilianzishwa mnamo mwaka wa 1964

ENEO LAKE:
Ukubwa wa eneo  la hifadhi  ya  Taifa  ya Ruaha  ina ukubwa  wa eneo  lenye  kilomita  za mraba  takribani  20,380. Hii ndio hifadhi kubwa kuliko zote nchini Tanzania na barani Afrika.

 

soma zaidi

Watch-Tanzanian-Map ____________________________________________________________________________________________________

BLOGU NA HABARI ZA UTALII
TAARIFA KWA UMMA
KUTOKA KWA MKURUGENZI MTENDAJI
MAKABILA YALIYOPO TANZANIA
WASIFU WA MIKOA KIUTALII
MATUKIO NA MATAMASHA
HAMASIKA
MAONI
JARIDA
UOTO WA ASILI
WATOTO
WITO WETU
USAFIRI
RAMANI
MAKTABA YA PICHA
Fortune Media Work
Simu: +255654002397
www.fortunemediawork.com | © 2011-2014
Tazama Ramani Tanzanian. Haki zote zimehifadhiwa
free hit counter

logos NgorongoroS!TE TATOTz EAC UDMCT TTB TANAPA KARIBU