Hifadhi ya Taifa ya Katavi

Ukweli kuhusu hifadhi ya Taifa ya Mkomazi:
Yapo maelezo mengi ambayo yameelezewa kuhusiana na maana halisi ya jina  “ Mkomazi”  na asili  yake.  Ukweli  halisi wa mambo  jina hili limetokana na neno la kabila la  Wapare,  mojawapo ya makabila ya jamii  ya Wabantu na asilia wa Mkoa  wa Kilimanjaro. 

          Katika  lugha  ya Kipare  neno “Mko”  maana yake ni  kijiko cha Kipare na vilevile  neno “Mazi”  maana  yake  ni maji.  Hivyo  basi  maana kamili  ya neno  Mkomazi  inamaanisha kijiko cha Kipare kisichokuwa  na tone  lolote  la maji. Na hii inajithibitisha jinsi upatikanaji wa maji katika maeneo haya yalivyo ya shida.  Hifadhi hii ya Taifa ya Mkomazi kijiografia inapatikana katika Mkoa wa Kilimanjaro.

MAANDALIZI YA USAFIRI:
Iwe ni usafiri wa binafsi  au wa kukodi, Ikumbukwe  na ieleweke  ya  kwamba  fedha  zinahitajika  na  maandalizi ya bajeti  ya fedha  hizi  zinahitaji umakini mkubwa. Kikwazo na  changamoto inayoukabiri  utalii wa ndani ni  usafiri. Utafikaje huko  hifadhini? Hapa ni  suala  zima la mpango  mkakati.

KUANZISHWA KWAKE:
Hifadhi  ya Taifa  ya Mkomazi  Ilianzishwa na kupewa  hadhi ya Taifa  mwaka 2007.  Karibu  kabisa na jirani  ya hifadhi ya Taifa  ya Mkomazi ni pori la akiba  la Wanyamapori  la  umba katika  Mkoa  wa Tanga. Pori  la akiba  la wanyamapori la umba lina  ukubwa  wa eneo  la kilomita  za mraba  3,234. Kwa  pamoja Mkomazi na umba ni  maeneo  ambayo yamepakana  kimipaka  na nchi  jirani  ya Kenya.

mkomazi

soma zaidi

Watch-Tanzanian-Map ____________________________________________________________________________________________________

BLOGU NA HABARI ZA UTALII
TAARIFA KWA UMMA
KUTOKA KWA MKURUGENZI MTENDAJI
MAKABILA YALIYOPO TANZANIA
WASIFU WA MIKOA KIUTALII
MATUKIO NA MATAMASHA
HAMASIKA
MAONI
JARIDA
UOTO WA ASILI
WATOTO
WITO WETU
USAFIRI
RAMANI
MAKTABA YA PICHA
Fortune Media Work
Simu: +255654002397
www.fortunemediawork.com | © 2011-2014
Tazama Ramani Tanzanian. Haki zote zimehifadhiwa
free hit counter

logos NgorongoroS!TE TATOTz EAC UDMCT TTB TANAPA KARIBU